ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ
Kwa jina la Mwenyezi mungu mwingi wa rehma mwenye kurehemu
Shukrani zote njema zinamstahikia Mwenyezi mungu muumba Mbingu na Ardhi ambaye ametupa uhai baada yakuwa ametufisha na kwake yeye (Allah) ndio tutarejea.🙏🏿
***********************************************************
Islamic Kindness ni channel ambayo inakuletea Mafundisho,Mawaidha na Matukio mbali mbali ya Dini ya Kiislam.
SUBSCRIBE,
LIKE,
COMMENT,
SHARE
Ili kupata Mawaidha na Mafunzo kutoka kwa Masheikh mbali mbali.
Inshallah 🙏
***********************************************************
"Twalabul ilmu faridhwatun a'lakuli muslimin wal muslimat"
#Kutafuta elimu ni lazma kwa kila muislam mwanaume na muislam mwanamke #.
Asante